We're in beta. Stay tuned for updates.x
Loading...
PODCAST

Jua Haki Zako

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

All Episodes

00:10:05
Kenya : Haki ya kumiliki ardhi ya jamii ya wafugaji
Jua Haki Zako ·
2025/08/22
sw
00:09:54
EAC : Uhuru na haki ya wanahabari kujiunga miungano
Jua Haki Zako ·
2025/07/30
sw
00:10:08
EAC : Wakimbizi wazidi kukimbia makwao wakitafuta amani
Jua Haki Zako ·
2025/07/28
sw
00:09:14
Kenya : Haki ya mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
Jua Haki Zako ·
2025/07/17
sw
00:10:16
Maziwa Makuu : Haki ya afya ya akili
Jua Haki Zako ·
2025/07/15
sw
00:09:46
Kenya : Vijana wazidi kuandamana
Jua Haki Zako ·
2025/07/01
sw
00:09:57
EAC : Haki za wanawake maeneo ya vita
Jua Haki Zako ·
2025/06/24
sw
00:10:02
DRC : Haki ya wanawake Mashariki mwa DRC
Jua Haki Zako ·
2025/06/23
sw
00:10:07
Kenya: Haki ya matumizi ya vyombo vya dijitali
Jua Haki Zako ·
2025/06/10
sw
00:10:07
Kenya : Haki ya wanaume na wanawake
Jua Haki Zako ·
2025/06/03
sw
00:10:03
Kenya : Harakati za kutetea Njisia
Jua Haki Zako ·
2025/05/31
sw
00:09:58
Amnesty International : Saudi Arabia inawanyanyasa...
Jua Haki Zako ·
2025/05/23
sw
00:09:56
Kenya : Demokrasia inavyotafsiriwa Africa
Jua Haki Zako ·
2025/05/18
sw
00:09:48
Afrika Mashariki : Sikuku ya leba ina maana gani kwa...
Jua Haki Zako ·
2025/05/06
sw
00:10:00
Tanzania: Haki ya kusikiliza kesi mahakamani
Jua Haki Zako ·
2025/04/30
sw
00:09:41
Uchafuzi wa mazingira wakiuka haki za watoto
Jua Haki Zako ·
2025/04/24
sw
00:09:50
Kenya : Sanaa ya wanafunzi wa shule yakera serikali
Jua Haki Zako ·
2025/04/21
sw
00:10:00
Haki ya maakazi bora kwa jamii zetu
Jua Haki Zako ·
2025/04/07
sw
00:10:00
Wazee na Wasiojiweza wafaidika na Mpango wa Makazi...
Jua Haki Zako ·
2025/04/07
sw
00:09:52
Tamaduni na sheria zetu wapi Mipaka ?
Jua Haki Zako ·
2025/03/31
sw
114 results

Similar Podcasts