We're in beta. Stay tuned for updates.x
Loading...
PODCAST

Siha Njema

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.

All Episodes

00:10:19
Muguka inaweza kusababisha madhara ya afya mtu...
Siha Njema ·
2024/06/21
sw
00:09:32
Mataifa ya Afrika yashinikiza mwongozo wa kukabiliana...
Siha Njema ·
2024/05/29
sw
00:10:09
Matatizo ya afya ya akili yasipotatuliwa huwaathiri...
Siha Njema ·
2024/05/22
sw
00:10:14
Changamoto za afya ya akili miongoni mwa watoto na...
Siha Njema ·
2024/05/14
sw
00:10:20
Mimba za utotoni zaendelea kuongezeka ukanda wa...
Siha Njema ·
2024/05/08
sw
00:08:40
Methadone yatumika kuwasaidia waraibu wa dawa za...
Siha Njema ·
2024/05/07
sw
00:10:25
Ajali za barabara Afrika huchangiwa na utepetevu,...
Siha Njema ·
2024/04/23
sw
00:09:21
UNITAID mbioni kurahisisha upatikanaji wa dawa nadra...
Siha Njema ·
2024/02/28
sw
00:10:07
Ushirikiano kati ya shirika la Village Reach na...
Siha Njema ·
2024/02/06
sw
00:09:54
Changamoto za afya ya akili katika mitaa ya mabanda ...
Siha Njema ·
2024/01/24
sw
00:08:31
Mikakati kuboresha matibabu ya TB
Siha Njema ·
2024/01/15
sw
00:09:43
Muendelezo wa ugonjwa wa Kisukari nchini Kenya na...
Siha Njema ·
2024/01/05
sw
00:10:20
Wadau wa afya wapaza sauti kuhusu ongezeko la...
Siha Njema ·
2023/12/22
sw
00:10:06
Matumizi ya Akili mnemba au AI kuboresha huduma za Afya
Siha Njema ·
2023/12/22
sw
00:10:14
Ugonjwa wa Utindio wa Ubongo almaarufu Celebral Palsy
Siha Njema ·
2023/12/22
sw
00:09:07
Afya ya umma barani Afrika
Siha Njema ·
2023/12/01
sw
00:10:19
Mpango wa afya kwa wote barani Afrika
Siha Njema ·
2023/11/21
sw
00:10:00
Faida za mazoezi ya Yoga kwenye mwili wa mwanadamu
Siha Njema ·
2023/11/16
sw
00:09:46
Ongezeko la visa vya mdomo Sungura
Siha Njema ·
2023/11/03
sw
00:10:08
Hofu kuhusu hatma ya mchakato wa amani DRC...
Siha Njema ·
2023/10/25
sw
71 results

Similar Podcasts